Habarini wapendwa, najitokeza kwenu wana JF;
~ Mimi ni binti mwenye miaka 26
~ Naishi Kusini mwa Tanzania
~ Elimu yangu ni diploma
~ Dini yangu ni Mkristo
Hakika nimechoka upweke natamani kuolewa sasa hivi. Nimeumizwa sana na mapenzi, nahitaji mwanaume ambae atanifanya nisahau mateso niliyowahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.