Mdogo wangu wa kike kamaliza form 4 mwaka jana 2014 amepata GPA ya 1.4 hajapangiwa form5 ,je kwa grade yake atapangiwa chuo cha ualimu bila yeye kuomba au inakuaje......?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.