Recent content by kaambe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa limepiga marufuku wanasiasa kusalimia kanisani, wamekosea sana

    Una akili ndogo kweli wewe
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa limepiga marufuku wanasiasa kusalimia kanisani, wamekosea sana

    Si wae nde huko kwenye makanusa mengine wakahubir mambo yao? Kwani lazima RC? Waende kwa Gwajima.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu CHADEMA ni batili kukaimisha ni batili na waliokaimishwa ni batili

    Unaaakili kweli wewe nani kasema hakuna uongozi Chadema viongozi wote wa kuchaguliwa ni halali
  4. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA: Suala Siyo wingi wa watu bali wana hoja gani?

    Mbona ubwabwa wenyewe haujaliwa? Hata hao wachache hawajapata.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lissu akitoka gerezani atamkuta Heche kabaki peke yake kwenye Chama. Hapo ndipo watajua kuwa Mbowe alikuwa mwamba

    Jaribu kutumia akili iliyoko kichwan yawezekana hutumii tena kichwa kufikiri kama hujaona mafuriko ya watu chato bas! Hata hivyo usisahau hata shetani anawafuasi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je, maradhi ya kisiasa yanayoikabili CHADEMA kwasasa yanafanana na yale yaliyo idhoofisha na kuidumaza

    Nadhani wewe umeathirika na chadema na sijui kama unapata kipato kwaajili ya hiyo kazi maana kila siku huna hoja zaidi ya CDM
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hili kundi dogo sana linalopinga Reforms katika Nchi yetu lina nia gani kwa Tanzania. Ni akina nani?

    Kasome kanuni za uchaguzi wa mbunge,Diwani na Raisi ndio utaelewa
  8. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Tafadhali we mwamshamba Fanya utafiti wa kujua akili zako zilipo pengine ilishahama kutoka kichwani kwenda mahala pengine kwa sababu unajaribu kueleza jambo la kitaifa kwa kuchambua upande Moja. Hivi wewe unayeshinda mitandaoni umesahau kauli zilizotolewa na yule m.kiti wa Uvccm kuwa hao...
  9. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mabalozi watakaohudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu et al, Wafukuzwe kutoka nchini

    Unawashwa Nini subiri dawa iingie vizuri mbona wakati mnataka maokoto husemi hayo?
  10. K

    JamiiForums Tanzania John Mnyika awajibu kisheria wanaohoji kuhusu CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili ya uchaguzi 2025

    Nani kipofu Sasa kati Yako na JJ Mnyika aliye rejea kifungu na wewe unaye bwabwaja tu!
  11. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuto saini kwa Chadema kanuni za Uchaguzi: Tafakuri ya Kisiasa, Mgogoro wa ndani na hatari kwa Taifa!

    Ni vigumu kueleweka kwako vizuri maana uko 50/50 na ushauri wako ingefaa zaidi uutoe serikalini maana chaguzi zetu mara nyingi zimekuwa za kupoteza rasilimali fedha na watu na majeruhi na hata vifo hivyo ni jukumu la serikali kuweka mifumo shirikishi ya kusimamia chaguzi na kuweka Sheria mzuri...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kisheria juu ya Hati ya Mashtaka ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu

    Ni mwanachama Malaya Malaya tu ndiye anayeogopa kukamatwa akiongea ukweli na ndio maana siasa nyingi zinakuwaga za msimu kwa kuwa wanaogopa kukamatwa. Hebu fikiria waasisi wa nchi nyingi za Afrika wangeogopa kusema ukweli tungekuwa wapi Leo? Acha kujifanya hamnazo wewe
  13. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Tundu Lissu afikishwa Mahakama ya Kisutu muda huu

    Na wewe Bwana wako akuongezee nin vile!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Lissu hajaanza kuwasikiliza watia nia wa ubunge na udiwani kabla ya yeye kuanza kuongea? Ni udikteta?

    Kwani wao ndio walimwalika au chama ndio iliwaalika kama ndivyo lazima wasikilize kwanza kwa nn waliitwa ndio watoe hoja zao
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwa style ya Uongozi wa Lissu, Heche na Mnyika, Mapandikizi CHADEMA wataaibika na kufeli vibaya sana

    Huyo ni mzee hataweza kufikisha zote engine atayasahau
Back
Top Bottom