Mkuu uislamu ni level nyingine, huku ni HAKI NA ukweli mtupu, wewe ongelea unacho kijua, maana hata hiyo Bibilia yako huwezi ibeba na sio wewe hata kwa wenzako pia ni same
"Yesu mwana wa mungu"
Hivi huoni hata haya na maneno haya?, hivi nikuulize kitu
Ikiwa yesu ni mwana wa mungu, huyo mungu ali oa lini?, au huyo mungu ali muacha lini huyo mkewe (maria) yaani talaka ipo wapi?, au wapo honeymoon?, au sasa hivi yupo kwa mumewe yaani huyo mungu wenu??
Hii HOJA...
Kama aliwakataa wanafunzi wake wasi muite kristo eti kwa kuogopa warumi (siasa),
Sasa kumbe una kubali hojaa ya waislamu kuwa yesu ali uliwa kwa sababu za ki siasa (roma) na sio sababu ya kiimani kama mnavyo danganyana huko,
Na kama ni mpango wa mungu kwa nini ali ogopa kuitwa kristo?,
Je...
Weka ushahidi wa hilo, alafu wewe ni bogus kweli kweli, sasa ukipewa msahafu mpya ndio umepewa Quran mpya?,
Hizo huwa wakfu na huo wakfu una maana yake, kama uongozi wa Makkah umetoa misahafu ya wakfu kwa mahujaj shida ipo wapi?, wewe ni bogus wa kiwango cha sgr
Alafu Kwa taarifa yako...
Nakusikitikia ndugu yangu, njoo ktk dini ya haki uislamu
KWA WENYE MACHO NA MASIKIO NA AKILI PIA , MAMBO YALIANZIA HAPA
matayo 16:20
Luka 9:18-21
Haya hizo ni ushahidi milele ya kwamba yesu mwenyewe kwa kinywa chake ali wakataza sana wanafunzi wake wasi muite kristo.
Sasa wewe...
Ila ku editiwa kwa bibilia kuna ifanya iwe special?,
Niki kuita mpumbavu uta sema nime ku tusi, hivi kitu gani ki edit we then ki baki na maana yake ya asili?,
Yaani kila kanisa lina bibilia yake na mafundisho yake tofauti kabisa
Yaani pentecost aka sali Rc inawezekana?, hebu wakristo...
Hapo hamna tusi, upumbavu ni silka yako mkuu, maana hata kuona na kusikia pia huwezi.
Sasa kwakua una iamini bibilia sasa ngoja ni mchambue huyo Paul
Note: watu watajua kama ukristo ni wa yesu au Paulo
Kwanza wewe na hao ktk video ni same akili zenu, alafu wewe ni zaidi ya bogus ,
Hivi kujua kuwa Quran kariim ipo moja akili yako haiwezi hata ku sense, ikiwa wewe una cheti hata cha darasa la saba basi fanya hata kukifungia vitumbua,
Yaani hata hujui kuwa waislamu hukutana Makkah?, tena hu...
Mkuu yesu mnasingizie bureeeee, bibilia imejaa maneno ya Paulo na maneno ya mchongo mchongo,
Bibilia imejaa vitabu visivyoeleweka nani muandishi wake na alikua na lengo gani, ili wana theology wanalitambua hili,
Bibilia origin yake ni ki Hebrew mnavyo sema hivi kitendo tu cha kuitafsiri...
Wewe huna elimu yoyote hata kiduchu tu kichwani mwako upo full empty Ktk elimu ya dini, Quran kariim kuilewa sio mpaka eti uwe na roho Mtakatifu ( kama kichaka cha dini fulani) Quran kariim ina hitaji akili tu only,
1-3 , hamna hoja hapo
Duniani kote kitabu cha uislamu ni Quran kariim, nenda...
Ulivyo mpuuzi, eti uniletee data, uniletee data wakati akili,macho na masikio ninayo
Uniletee data wakati hiyo Bibilia yako ipo wazi kiasi hadi hao wachungaji wenu wanagombana kila siku
Wakristo almost wote wana mfuata mtume Paul, na wengi wana mpinga huyo yesu 😂😂😂
Kwenye chuki,roho mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.