Recent content by Juxtine mwita

  1. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi -2 Hours of Memories (Espionage and Science)

    Mr ongeza vipande Sasa ety
  2. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kwenye gruop mtu unalipia kiasi gani na malipo yanafanyika kwa kulipia story moja au vipande au unalipaje?? Brooo
  3. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Bro singanojr post kipande kingine nikikaa bila kusoma story hasa za kwako nakosa amani kwan story ndo furaha yangu !!!!!!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kaka naomba uwe unapost vipande hata kumi hii story haipotezi hamu ya kusoma blessed blessed broo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  5. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Sina budi kumupa sofa zote mtunzi wa hii stori Ni fundi na amebobea .🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  6. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Mwandishi wa hii stori nakupa pongezi unajua Kaka Sina kinyongo nitakuwa nasoma story zako Mara kwa Mara Ila nakuomba jikite Sana kwenye hizi stori za kijasusi na mapenzi kozi soko lake lipo juu kaka
  7. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya ujasusi: Do not shout (Usipige kelele)

    Mbn story haijaisha na huku nimesoma vipande kumi na tisa na vipo 19/19
Back
Top Bottom