Recent content by Justus wisdom

  1. Justus wisdom

    Fuga samaki kwa faida na ovs-Aquasupplies

    ofisi yetu zinapatikana Tegeta Nyuki. 📞+255743273321
  2. Justus wisdom

    Fuga samaki kwa faida na ovs-Aquasupplies

    Hiyo picha mbona haina uhusiano na samaki wa mwanza wa ziwa victoria?
  3. Justus wisdom

    Fuga samaki kwa faida na ovs-Aquasupplies

    Shamba linapatikana bunju B darajani Kituo kinaitwa mingoi (bagamoyo road)
  4. Justus wisdom

    Fuga samaki kwa faida na ovs-Aquasupplies

    “AquaGold” ndio samaki sato ni dhahabu ya majini.. Katika ufugaji wa Samaki nchini Tanzania samaki jamii ya sato imeonekana kuwa na tija sana kutokana na kuwa na watumiaji wengi zaidi sokoni, kwa maana hiyo soko lake ni la uhakika ndani ya nchi na pia nje ya nchi. Kwanini ufuge samaki...
  5. Justus wisdom

    Tunatoa huduma ya ufugaji samaki na kuuza vifaranga vya samaki

    Huduma yoyote mkuu , kuanzia uchaguzi wa maeneo, uchimbaji wa mabwa , usimamizi, mbegu bora za samaki (sato na kambale), tunauza pia vifaa vya ufugaji samaki (chakula, neti za kufugia, neti za kuvuli, neti za kufunika bwawa n.k) na ushauli wa kitaalam Juu ya ufugaji samaki. Karibu sana.
  6. Justus wisdom

    Tunatoa huduma ya ufugaji samaki na kuuza vifaranga vya samaki

    Karibuni kwa huduma ya ufugaji wa samaki na mbegu bora ya samaki sato na kambale. Tunapatikana Bunju B Darajani (mingoi), njia ya kwenda bagamoyo karibuni sana.
Back
Top Bottom