Recent content by Justine malili

  1. J

    JamiiForums Tanzania jkt waongeza majina ya waliomaliza kidato cha sita mwaka 2013

    habari ndio hiyo hapo wanatakiwa kuripoti kuanzia tar. 3 october paka tar. 6 october..! kama unataka kuahirisha utaratibu ni ule ule barua.. source kwenye website ya jkt..! nawasilisha
  2. J

    JamiiForums Tanzania St johns university of tanzania room allocation!!!!

    Okey! vp kuhusu sisi wa off campus?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mia tatu kukosa mikopo HESLB

    mimi nachotaka tamko kutoka heslb wenyewe..! huko jikoni kaa na dada zako muendelee kupika tu!
  4. J

    JamiiForums Tanzania HESLB Kutoka Jikoni kabisa

    kama mapishi ndio hvyo basi chakula cha heslb kimeshaungua..!
  5. J

    JamiiForums Tanzania ''to much expectations''

    Wanatafuta ujiko hao..! achana nao!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo wanafunzi wa vyuo wanavyovipenda vyuoni

    teh teh teh teh kuumbuka nako kunakera..! samahani lakini mkuu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jkt

    wanarudi kuanzia tarehe 27 paka 29..! source jamaa yangu alinipigia simu jana ye yuko kigoma wanarudi tar 27
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo wanafunzi wa vyuo wanavyovipenda vyuoni

    watu kwa ku copy na ku pest wako vizuri..! Ungetakiwa ueleze na ulipoitoa hii kitu..! Shout out kwa masanja mkandamizaji kweny account yake ya fb...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ardhi University(ARU) - Special Thread

    We unafikiri kugoma ndio suluhisho la kutatua tatizo? sikulaumu sana najua ni kwa sababu hukwenda jkt!
  10. J

    JamiiForums Tanzania wale wa st.john's university of Tanzania (Dodoma) hapa ndo kwetu.

    Kwenye timetable..! then utafungua SJUT Calendar 2013/14 utaona orientation week inaanza j3 tarehe 7 oct..!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Msaada JAMANI kuhusu mkopo unaotolewa na HESLB....!!?

    kweli bhana! hebu tusaidiane kwa hili mi nimechaguliwa st.john Baed
  12. J

    JamiiForums Tanzania wale wa st.john's university of Tanzania (Dodoma) hapa ndo kwetu.

    Kuripoti ni tarehe 7 mwezi wa kumi na hostel ni kwa wasichana na wale ambao wanamatatizo..! nimeipata kwenye web yao...!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je tangazo hili la jkt bado linaendele?

    Jkt kwishnei..!
  14. J

    JamiiForums Tanzania UDOM List of first year applicants-2013/2014

    Msaada jamani..! justine david malili baed kwangu haidownload...
  15. J

    JamiiForums Tanzania UDOM List of first year applicants-2013/2014

    Msaada wakuu..!! nichekieni udom JUSTINE DAVID MALILI kozi Baed
Back
Top Bottom