Tutapewa VP garama wakati nguzo za mradi bado azijasimamishwa kinachotakiwa ni kwenu tanesco kusimamisha nguzo kisha sis tupewe garama ya kila mmoja kuingiza umeme kwenye nyumba yake.
Walio tuomba tutoe milion 2 ya kununulia waya ni watumishi wenu tanesco wapo ofsn tumepewa majibu hayo tukiwa ndani ya ofis ya manager wa miradi mbezi na tukaomba namba ya mradi wetu tukiwa tunaosoma wenyewe kwenye screen ya computer wenyewe ndo akatuandikia kwenye karatasi ambayo no 8...
Nguzo hizo hapo site
Zina miezi takribani 4 zimelalachini eti Tanesco awana waya? hivi kweli shirika kubwa kama la Tenesco likose vitendea kazi ususani waya
au ndio hii mipango ya kudaiwa pesa kwa njia ya mdomo na wala sio maandishi.
Hapa hatujafikia swala la makadirio tulikuwa tunakumbushia mradi wetu umekwamia wapi,
Baada ya maelekezo yenu ya kwamba tuende ofisi za Tanesco mbezi
Ndio tukafika pale ofisi za Tanesco mbezi
Walichotuambia ni kwamba mradi umekwama kwa sababu ya kukosa waya
Ndio wakatuagiza kwa mdomo tutoe...
Tulitoa humu malalamiko yetu sisi wakazi wa malamba mawili, kuhusu mradi wa nguzo Tisa
Mlituelekeza twende ofisi za Tanesco mbezi
Baada ya kufika ofisi za Tanesco mbezi
Mradi wetu unasomeka hivi
PROJECT NO 8
T 052774 ( malamba mawili)
9 LT poles
Sasa basi hapa kuna Tatizo kubwa Sana Tumeambiwa...
Mimi ni mkazi wa kwembe mpakani wilaya ya ubungo
Tuliomba Mradi wa umeme wa nguzo Tisa mwaka 2015 idadi yetu sisi waombaji ni kumi na wawili (12
Tumesubilia Mradi Kwa muda mrefu Sana zaidi ya miaka 2
Mradi umetoka mwezi wa Tano 2017
Nguzo zimeletwa site tokea mwezi wa sita mbaka hivi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.