Recent content by Junior Dismas90

  1. Junior Dismas90

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huu uzi hatari sana,jana nimetoka zangu Makulu hapa Dodoma nikasema niende Meriwa nikapate zangu kitimoto tekenya na mtungi kidogo ,sasa kuna mahali kuna Lodge na bar wanipika kitimoto na vyakula vingine panitwa CM Lodge. Kufika pale nikaanza zangu kupata masanga mbili tatu,huku nimeagiza kilo...
  2. Junior Dismas90

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hii hatari mkuu mi kuna mmoja huyo alikuwa hovyo enzi hizo now kawa piruu kinoma yaani anajambia mbali hatari sema wazee wamewekeza hata kuomba mzigo noma
Back
Top Bottom