Ajira yangu rasmi serikalini niliipata miaka ya 90’s
Nilishikwa mkono na mtu nisiemfahamu BURE bila kutoa ata sumuni…..Huwenda bila yeye (R.I.P) nisingekuwa hapa nilipo na heshima hii
Nimejitoa kuwashika mkono vijana wawili watakao itaji nafasi za PCCB (wakike 1 na kiume 1)BURE bila senti yako...
Najibu kutokana na sehemu niliyopo mkuu,kama kuna mtu wa PT umu akiwaibia siri pia sio mbaya
kama uliomba UT na umekidhi vigezo muhimu hesabu kwenye pdf umepita
Note: Tutawapuna sana kwenye saili, we only need few candidates to go with
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.