Recent content by jumapondamali

  1. J

    Taasisi ya Elimu ya watu wazima haijafanya malipo kwa miezi mitatu mfululizo bila taarifa yoyote

    Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia elimu mbadala (Alternative Education Pathway). Mpaka sasa umepita muda wa miezi miwili mfululizo...
  2. J

  3. J

    KERO kero ya mradi wa SEQUIP

    Na sisi kaka huku Mbeya hamna kitu yani tunalia tu.
  4. J

    Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) haijalipa mishahara ya wafanyakazi wa mradi wa Sequip (AEP) kwa miezi mitatu sasa bila taarifa yoyote. Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha...
  5. J

    Mradi wa elimu mbadala kwa wanafunzi waliokatisha masomo SEQUIP - AEP haujafanya malipo kwa muda wa miezi mitatu mfululizo bila taarifa yoyote

    Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia elimu mbadala (Alternative Education Pathway). Mpaka sasa umepita muda wa miezi mitatu mfululizo...
Back
Top Bottom