Recent content by Jumanne Mkota

  1. Jumanne Mkota

    JamiiForums Tanzania Mambo makuu matano ukiwa JF member kwa mwaka. Utajikuta mwanachama mbobevu

    Tangu nimekuwa na umri huu 45+yrs nimeyafahamu majina mengi ya robert akiwemo ROBERT NESTA MARLEY! hawa jamaa wamejaliwa kuwa critical thinkers! ila wanaongozwa zaidi na bange! fikra zao nyingi zimejaa moshi wa bange lkn some how unapata logic na knowledge kiasi! sasa we wajina wa bob marley...
  2. Jumanne Mkota

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari: Kikatiba, nafasi ya Nchimbi ilikoma baada ya kuvuliwa uanachama CCM

    Hiki chama kimebadilika pakubwa mno! yaan kama genge la wachawi kabisa
  3. Jumanne Mkota

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari: Kikatiba, nafasi ya Nchimbi ilikoma baada ya kuvuliwa uanachama CCM

    Lakini pia katiba ya chama cha mauaji inasema kuwa kamati kuu itampeleka kwanza kamati ya usalama na maadili ili asikilizwe then NEC na mkutano mkuu UTA M DELETE! au katiba yao imebadilika?
  4. Jumanne Mkota

    JamiiForums Tanzania Warioba: Nilimwambia Nchimbi CCM inakufa

    CCM ni kama maiti ya kijaluo! inaweza kaa mochuari hata miaka 10 ikisubiri wana nzengo wajitafute! huku ikiendelea kupukutisha pato la familia!
  5. Jumanne Mkota

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Waziri mchapakazi bwana Makonda?

    LABDA KALISHWA SUMU TENA! huwezi jua
  6. Jumanne Mkota

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanolipa income tax ni kama million 2 hivi kati ya watu million karibia 70 hili ni janga kwa Taifa

    sio kweli kama watu hawalipi kodi! ishu ni uadilifu na nidhamu kwenye matumizi ya hizo kodi! embu niambie wewe mgweno! ni sahihi mwenge kwenda kuzindua majosho ya kuoshea ngombe?
  7. Jumanne Mkota

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanolipa income tax ni kama million 2 hivi kati ya watu million karibia 70 hili ni janga kwa Taifa

    Wale wale wajinga! hivi umewahi kidogo kufuatilia uadilifu wa matumizi ya kodi inayokusanywa na serikalii? kama mfadhili anajenga choo cha shule halafu mkuu wa mkoa anakuja kukizindua na msafara wa ma v8 kumi na hao abiria wako wawili kwenye kila hyo v8 na posho za kufanya kazi nje ya kituo...
  8. Jumanne Mkota

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanolipa income tax ni kama million 2 hivi kati ya watu million karibia 70 hili ni janga kwa Taifa

    babu hujatukanwa umekurupushwa tu ujifunze kuwa unachokipost humu unakifahamu? labda nikufungulie kidogo! kodi ya mapato inatozwa kwenye pato ghafi(gross income) la zaidi ya tsh 2500000/= kwa mwaka! hii inawahusu wafanyakazi rasmi sio vibarua . na watu wenye miradi inayoingiza faida kibiashara...
  9. Jumanne Mkota

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanolipa income tax ni kama million 2 hivi kati ya watu million karibia 70 hili ni janga kwa Taifa

    Mil 70 walipe incomd tax? hiyo kodi kwanza unaijua status yake? hizi ndo elimu za hapa na pale! yaan hujui kitu halafu unaendelea kusapoti uzi kwa kukoment? mjinga kabisa! yaan hizo mbegu zilitunga mimba yako bora baba yako angepiga mgalala tu akapata raha dunian
  10. Jumanne Mkota

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 THRDC: Tunaishauri CHADEMA na Tundu Lissu kutafuta suluhu kwa njia ya mazungumzo

    ila CHADEMA ni noma yaani kila kitu kimesimama nchi hii ! Kila mtu chadema ifanye hivi na vile! Kwa hesabu hizi watv nawaondoke tu wawapishe chadema waongoze hil taifa!
  11. Jumanne Mkota

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akutana na Yvone Chakachaka

    Nahisi pia kamletea na umkomboti! Daa ila nchi yetu shida sana! Yaan badala ya kuwaalika ikulu kina elon musk au watu wa maana tunawaalika kina mkomboti na senki yuu mr dijei
  12. Jumanne Mkota

    JamiiForums Tanzania Dr Nchimbi jiuzulu ili tuamini

    Kama hutajiuzulu huu utakuwa ni NI MWENDELEZO Wa utapeli kama tapeli zenu zingine! tunataka katiba mpya
  13. Jumanne Mkota

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Umoja wa Vyama Vya Siasa vya Upinzani Tanzania huwa haidumu na badala yake husambaratika haraka?

    Simple and clear sheria ya vyama vya siasa hapa nchini hairuhusu vyama kuungana! (coalition) ingawa inaruhusu mashikirikiano(cooperation) ndio maana kuna kipindi tulipata (UKAWA) ! TUNAPODAI KATIBA MPYA NI PAMOJA NA HILI ! Ili siku moja nyie nzi wa kijan muungane rasmi na vikundi vikundi vya...
  14. Jumanne Mkota

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza kuundwa kwa kamati ya Uchunguzi wa hitilafu ya Gridi ya Taifa

    Kina yavuz karazuu au waturuki tuseme in general! Wameshikilia bwawa mpaka walipwe hela zao! Na waziri anajua hlo na sisi pia tunajua! Sasa hizi hela za kuunda kamati , mikutano ya kina g msuguliwa si mngepeleka kupunguza deni? Halafu hivi nzanziba napo ulikata?
Back
Top Bottom