Recent content by jumaaarashidi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    Ni sahihi kabisa nakubaliana na unalolisema Sisi huku kilindi tunateseka Sana na huyu bwana ambaye kwa sifa zake hata ujumbe WA nyumba kumi hawezi kuongoza
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    Sahihi kabisa maana JF ni jukwaa muhimu la watu kupaza sauti zao
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    Sio fitna huyu jamaa kila mtu anamlalamikia huku , uliza mtu yeyote wa wilaya ya Kilindi atakwambia habari zake ni mtu wa hovyo sana
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    Ni nafuu angekuwa tu mpigaji lakini amevuka mipaka kwa kulewa madaraka amekuwa mnyanyasaji sana , vitendo anavyofanya kwa wakulima wa huku ni vya kiuonevu , huyu bwana tunajipanga kufanya maandamano kwenda ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga na mabango
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    Hashim mgandilwa ni mpigaji mkubwa wa miradi ya maendeleo hafai kabisa kuwepo ofisini ...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    Niliyoyasema hapo ni machache ana madudu mengi ameyafanya ila watu hawana pa kusemea ukizingatia na mazingira ya hii WILAYA yetu huku bado hakuna maendeleo na uhaba wa waandishi wa habari . Mimi ni mzawa wa huku nimezaliwa huku nimekulia huku mpaka utu uzima wangu, hakuna mkuu wa wilaya amewahi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    Inashangaza Sana wengi wanajiuliza maswali
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    Ukitutolea huyu limbukeni wa madaraka kilindi itapumua Sana maana amekuwa mwiba kwa wengi ni dua yetu kwa Allah usiku na mchana huyu kinyago ang'atuke
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    NITAPAZA SAUTI YANGU MPAKA IMFIKIE MH RAIS AJUE MADUDU YANAYOFANYWA NA HUYU MKUU WA WILAYA, HILI NI JIPU LILILOIVA LINAPASWA KUTUMBULIWA.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    Huyu Jamaa ni shida huku , watu wengi wanamlalamikia ni bonge moja la kilaza
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    Ninaoushaidi wa kutosha hata aje asimame ana kwa ana na Mimi ninampa makavu yake mubashara
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    Kwakweli inatubidi maana huyu Jamaa uongozi umemshinda kabisa watu kama hawa ndio wanaitia doa serikali
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    Rais wangu nakusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mimi raia wako Rashidi Jumaa kutokea Tanga wilaya ya Kilindi ni mzawa wa huku Sauti ya mnyonge huwa haisikiki kwa urahisi, nimeona nilitoe dukuduku langu humu kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kero tuliyokuwa nayo na huyu...
Back
Top Bottom