Recent content by Juma The Great

  1. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wananchi wapo tayari endapo tu wataelimishwa na kupewa mrejesho thabiti kutoka kwa mamlaka husika

    Tena yakiwafika kooni ndio wanaanza kuunda kamati za uchunguziii siwatajiiii ila wanajijuaaaa
  2. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilio changu katika sekta ya Afya

    Hakika Kiongozi, haya mambo yanasahaulika sanaaa mfno vichaa sasa hivii imekuw ni kama jamii kiukweli kila mtu sasa anatoa sababu zake, kwakwel serikali itilie mkazo
  3. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni muda muafaka wa kuinua vilivyo vyetu

    Hakika yote kwa yote pia teknolojia ndio nyenzo kuu kabisa kwa kutekeleza yote haya.
  4. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni muda muafaka wa kuinua vilivyo vyetu

    Tunaopendelea Simu used from Dubai tujuane.............
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni wakati sasa wa kumaliza vita hii ya vijana dhidi ya ukuaji wa sayansi na teknolojia

    Ukweli ni kwamba Hiv sasa maisha bila teknolojia itakuwa ni Zama za mawe za mwanzo! Hatuna namna zaidi ya kukabiliana nayo tu. Asante kwa kutukumbusha
Back
Top Bottom