Recent content by Juma Ngwale

  1. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya internship/ volunteer kwa nafasi ya hr

    Habari wana JF, mimi ni graduate wa degree ya human resources management, naishi Dar, natafuta nafasi ya internship au kujitolea katika kampuni, taasisi au shirika katika nafasi ya HR. Mwenye taarifa, ushauri au anayeweza kunisaidia kupata nafasi hii, natanguliza shukrani zangu za dhati...
Back
Top Bottom