Recent content by Juma Katolila

  1. J

    GE2020 Mvua iliwanufaisha Profesa Kitila na Dkt. Magufuli

    Wadau, Leo mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam. Hata hivyo, haikuwazuia Wananchi wa Majimbo ya Ubungo na Kibamba kwenda kumsikiliza Rais John Magufuli na wagombea Ubunge wa majimbo hayo kwenye Mkutano wa hadhara pale Mburahati. Mkutano ulikuwa na sababu zote za kutofanikiwa. Kwanza ulipangwa...
  2. J

    GE2020 Faida ya Prof. Kitila kwa Ubungo, Dar

    UJIO wa Profesa Kitila Mkumbo katika siasa za Dar es Salaam umeleta nguvu mpya na msisimko katika siasa za Mji Mkuu wa zamani wa Tanzania. Kwa takribani miaka 15 sasa, Dar es Salaam ilikuwa na bahati mbaya ya kuwa na wabunge machachari wa upinzani na waliopoa kidogo; walau ndani ya Bunge kutoka...
  3. J

    GE2020 Kitila amsaidie Magufuli, aende kugombea Ubungo

    Angalia Kiswahili hicho[emoji1787]
  4. J

    GE2020 Kitila amsaidie Magufuli, aende kugombea Ubungo

    Wakuu, Inaonekana kuna mvutano mkubwa wa kisiasa katika Jimbo la Iramba Magharibi baina ya Profesa Kitila Mkumbo na Dk. Mwigulu Nchemba. Kitila bado hajatangaza hadharani endapo kweli anataka nafasi hiyo. Mwigulu, angalau kashatangaza 'kiaina' kwa kujigamba kwamba anayetaka kupima urefu wa...
Back
Top Bottom