Recent content by Juma jaibu kuhanga

  1. Juma jaibu kuhanga

    SoC04 Elimu ni sawa na kushika kiwembe

    Elimu ni ufunguo wa maisha kama walivyosema wadau wa kale katika harakati za kuboresha na kushawishi upatikanaji wa maarifa na ujizi kwa njia ya shule. wazee wetu walipoambiwa elimu ni bora hawakusita waliuza hadi mashamba ili na sisi wanao tuweze angalau hata kuonja elimu bora iliyo na mfumo...
  2. Juma jaibu kuhanga

    SoC04 Mazingira yetu ni maendeleo yetu

    Utunzaji wa mazingira ni muhimu katika maendeleo ya taifa ili kufikia Tanzania tuitakayo ni vyema serikali,jamii na wadau kusimama kidete katika kupinga uharubifu wa mazingira kwa kufanya mambo yafutayo. Je jamii inajua kama suala la kulinda na kutunza mazingira ni jukumu lao au la serikali...
  3. Juma jaibu kuhanga

    SoC04 Tindikali ya rushwa Tanzania

    Suala la rushwa na kudhibiti kwake bado kuna ugumu na changamoto kubwa licha ya jitihada zinazofanywa na taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa hapa nchini. Suala la rushwa ni moja ya kikwazo ambacho kinakawamisha maendeleo katika jamii yeyote hile kwani inazuia haki ya watu wengine. kuna mambo...
  4. Juma jaibu kuhanga

    SoC04 Mawazo yetu tanzania yetu

    Bungeni; Katika bunge la tanzania ni muhimu watu wenye mahitaji maalimu wangejumuishwa katika nafasi ya wabunge wa viti maalum hii itasaidia kuwepo kwa uhalisia wa mambo yao wanayowakabili katika jamii ingepeteza kama walemavu wa viongo, wasiona, viziwi, bubu na albino kila watu apo wangekuwa na...
Back
Top Bottom