Unakumbuka, siku moja baada ya ajali ya moto katika soko la kariakoo, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliunda kamati ya siku saba kubaini chanzo chake?
Tukio hilo lililotokea Julai 11, mwaka 2021 na kusababisha hasara kwa maelfu ya wafanyabiashara katika Soko hilo kongwe jijini hapa, licha ya...
Na MWANDISHI WETU
YUNIS Simon (50) si jina halisi mama wa watoto watatu mkazi wa Mkoa wa Simiyu , ambaye alitaabika na tatizo la kutokwa na haja ndogo na kubwa sehemu ya haja ndogo hali inayotajwa na wataalamu kuwa tatizo la fistula ya uzazi.
Mama huyo anabainisha tatizo la kutokwa na haja...
Nyumba iliyo karibu kusombwa na Bahari, kijiji cha Mdimni wilayani Mkuranga.
Na Mwandishi Wetu
Maisha ya wakazi wa Kijiji cha Mdimni kilichopo wilayani Mkuranga katika Mkoa wa Pwani, yapo shakani kufuatia sehemu kubwa ya ardhi yake kughubikwa na athari zilizokithiri za mabadiliko ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.