Habari!
Naitwa Julius, nina umri wa miaka 42, na natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi, familia, viongozi au safari za barabarani (road trips), ikiwemo safari ndefu za kifamilia.
Nina uzoefu wa miaka 10 katika kuendesha safari fupi na ndefu, ndani na nje ya Tanzania. Pia nimepata mafunzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.