Msaada wa kisheria jamani, ni kwamba kuna jamaa yangu amemshikia dhamana rafiki yake ambae anakesi ya madai ya kama milioni 15, maana yake nikwamba mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana na alitakiwa kulipoti polisi kila wiki,bahati mbaya au nzuri yeye ni mfanya biashara kwahiyo ilibidi asafiri nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.