Recent content by JuliethMliwa

  1. JuliethMliwa

    Dalili zinaonesha kwamba Dkt. Tulia anaenda kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano

    Rais magufuli leo kwenye kupokea cheti chake ameshasema hiki ndicho kipindi chake cha mwisho sasa nyie wanazengo mnaleta uongo wenu usio na faida yoyote
  2. JuliethMliwa

    GE2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

    Rais wetu Dkt.John Pombe Magufuli anaona mbali sana hakuna maendeleo yoyote katika nchi yetu kama hakuna amani..watanzania waangalie tu nchi baadhi zenye vita,uchumi unashuka ,watu wanakufa tunapoteza nguvukazi, wazee wetu ,baba,mama na watoto wadogo wanaathirika sana na vita.Sasa hivi vyama...
  3. JuliethMliwa

    GE2020 WanaJF tunaomuunga mkono Dkt. Magufuli sasa ni muda muafaka wa kumsaidia kupata ushindi wa kishindo

    Rais wetu ni Dkt John Pombe Magufuli amatenda mengi mazuri kwenye nchi yetu tunampa mitano mingine ili tuiendeleze tanzania yetu kwenye Amani, Uchumi, maliasili, miundombinu
  4. JuliethMliwa

    GE2020 Maendeleo yapi CHADEMA wataleta tofauti na ya chama kilichopo madarakani?

    Hakuna jambo watakalo liweza ndio mana tunawaambia kura kwa Wagombea wa CCM
  5. JuliethMliwa

    GE2020 CCM yataja siri ya wagombea wake kutoenguliwa NEC

    wanaCCM niwatiifu na wenye kusikiliza maelekezo ya nayo itajika kufanya sio hao wapinzani kila kitu wanataka kufanya kwa pupa ndio mana wengi wao hushindwa kujaza fomu au kukosea kujaza fomu
  6. JuliethMliwa

    GE2020 Nimeamini watanzania wameamua kufanya mabadiliko!

    Nani atapigwa chini wewe CCM ndio babalako nyie ndio mtaangukia kisogo tu
  7. JuliethMliwa

    GE2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

    Bao la ushindi hilo analo zungumzia yeye ni lipi[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]embu aendelee kupumzika alale
  8. JuliethMliwa

    Uzuri wa Dkt. Magufuli ataanza na wafuatao...

    lione hili nalo unauhakika wewe ndo upo kwenye kichwa cha magufuli
  9. JuliethMliwa

    GE2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

    sijui alikuwa anataka kujikuta nani huyo sheikh Ponda alafu waislaam wakamvamia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. JuliethMliwa

    GE2020 Yaliyojiri katika mapokezi ya Tundu Lissu leo Oktoba 19 mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

    Tusiongee mengi subirini muone hiyo tarehe 28 october 2020 CCM ambavyo watawaliza kwa kura za kishindo msilie tu
  11. JuliethMliwa

    GE2020 Vijana hawana cha kupoteza kwa Dkt. John Pombe Magufuli

    Yani mimi kama kijana naisubiri sana hiyo tarehe 28 october tukawaonyeshe watanzania jinsi magufuli tunavyompenda vijana ...Yani kura zote kwa Dk John Magufuli....huyu mzee jamani katufanyia maendeleo mengi anaebisha kuna nati za kichwa zimechomoka
  12. JuliethMliwa

    GE2020 Dkt. Magufuli hajawahi kushindwa, hatashindwa

    kaaaaaah wewe ni muongo adi sio vizuri data zote unazozitoa sio zakweli kabisa.ni mjinga hutumii akili kweli unataka noah 50mln kwa kila mtanzania
  13. JuliethMliwa

    Nyongeza ya mishahara hakuna, najenga Nchi

    sasa ndugu yangu hayo maendeleo mengine yangetokea wapi bila bajeti nyingine kupunguzwa. Rais wetu Magufuli ameweza kufanya wafanyakazi kupata mishahara yao kwa wakati sio kama kipindi kile
Back
Top Bottom