Recent content by julieth kelvin

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wale wa mzumbe

    coz izo slip znakua submitted kwa watu tofaut tofaut cku ya registration..unaeza uka weka zote kwa slip moja ila ni vzur zaid ukaztofautisha...n yes km unayo bima ya afya unalipa 30 000.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wale wa mzumbe

    km umepata meals n accomodation frm heslb then hostels hulipii..af ni vizuri ukalipa kila moja kwny pay sleep yake..yaan health fee.coution.muso etc kla moja kwny pay slip yake ili kupunguza usumbusu siku ya registration.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanafunzi wa mzumbe

    yea semrster ya pil kuna kupangwa upya.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanafunzi wa mzumbe

    km unaweza toa yote...ila iktokea semestr ya pil umekosa campus za ndan utapata shida ku claim ela yako..
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanafunzi wa mzumbe

    hostel unalipa nusu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanafunzi wa mzumbe

    kama una bima ya afya unalipa 30 000 n kama huna unalipa 75 000
  7. J

    JamiiForums Tanzania Sikujua kwa nini vijana wengi wanaichukia ccm.

    no usihairishe mwaka.nenda ka apeal coz una vigezo vyote vya kupata mkopo
  8. J

    JamiiForums Tanzania ndo nimekosa mkopo au?

    kwa waliokosa hadi boom hawatapewa kabisa?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Loan board

    yani huyu oil sumu huwa ananichosha jaman..hahaha
  10. J

    JamiiForums Tanzania ubakaji jkt

    no comment hapo
  11. J

    JamiiForums Tanzania ubakaji jkt

    hahahahahaha jamaa gani tena?
Back
Top Bottom