Recent content by Julieth jason

  1. Julieth jason

    Nini maana ya special examination?

    Amani ya bwana iwe pamoja nanyi, mi ni mwanafunz ninaechukua kozi ya afya(pharmacy) kwa bahati mbaya sikufanikiwa kufanya mtihani wa nacte mwezi Jana, kutokana na kuugua. Nikashauriwa na academic niandike barua ya kusitisha semester hili nije nifanye huo mtihani nawa nyuma yangu, au nisubiri...
Back
Top Bottom