Kweli tumekosea,,tungempa muda zaidi afunguke, awafunue wakina IGP, Nchimbi na wengine, lakini bado confusion inaendelea,,,,watakuja wengine tena, hata wao wa wao wanalipuana kule mjengoni na majukwaani eg. maige vs nape,
lowasa vs sita...
Yule msela wa Dar aongeze ukali kidogo,,,anayesupport maasi ya CCM hana rafiki,,,
Chanel ten + Star tv + ITV+ Mlimani TV + EATV + BBC + DW + VOA + DTV+ ATN vs TBC = ????
..............
Hawa huwa kabla JK hajaja kuongea nao kupitia Taifa, wanapitishiwa vibahasha kwanza...hata akitukana wanamshangilia,
hawa ndio wanaopalilia zoezi la kuwafukia wananchi, hawana dogo hawa wazee. busara????? your turn is over wazee...
Mpaka sasa CCM haina media yoyote kiukweli. ukiacha mama yao TBC tv radio na magazeti yao hususani lile la chama Uhuru, daily news bhassiiiiiiii,,,,,,,
vingine vyoooooooooooooote ni vya umma aka wananchi.
2015 wataisoma...
Hakuna shaka kazi yenu Yahya na Star TV ina mwangaza wa faraja kwa watanzania. Nawapongeza sana, na naomba muzidi kuwa "strong and confident" na msiogope kuwaita watawala wakubwa na kuwachanganya na wananchi wa kaliba nyingine ili tupate chalenge. mwisho please...........kama inawezekana...
Halo Neiwa umepotea... ogopa basi hata hii hali inayowakaabili wananchi wasiojua chanzo cha umaskini wao...dawa feki zinaingia, madawa feki ya kilimo/mifugo, ridhiwani anamiliki bilions, magorofa Mwnza,Moro na kwingine, shimbo amestaafu hajaulizwa kuhusu zile trilioni 3 alizokutwa nazo, account...
ebwana hii ya pinda kuzomewa namna gani? sikuipata
come oooooon wananchi, amkeni, tuwaondoe hawa. mmesahau huyu huyu wakati anaapishwa alisema mashangingi yote yatauzwa??? alijiita mtoto wa mkulima,,,,huyu ni gamba la mamba ameshakuwa kama wale wengine, sasa msafara wake una mashangingi V8's...
Hiki kipindi kingekuwa kinajirudia, du ningefurahi sana. mzee kawaharibia ITV nadhani defamation,, anapaswa kuwekwa korokoroni kwa uvunjifu wa amani.
Hawa wazee ndio hawa wanawapotosha wazee wetu wa vijijini, ndio maana wanazidi kuikumbatia CCM wakifikiri ni ile ile ya Nyerere...
Du huyu mzee wa Dar ameua zaidi hapa mwishoni, kwa kusema tusiwadharau star tv, bali tupeleke maoni yetu ITV wakati hata haihusiki. inaonyesha hawa wazee hawana sera, the brain has nothing constructive, amewatukana ITV for nothing just kukwepa mjadala mzito uliopo mezani, wanataka tu kulinda...
nani mwanangu kakufutia post yako, yaan hawa wmefika mwisho, sasa hao ni wazee...je akija Makamba, Mwigulu Mchemba, au Mukoma au Ridhiwani Kikwete, tuandae kwanza mahakama maalumu, mana saa inakaribia
Kwa kweli Star TV tusiwalaumu, unajua tangu mjadala uanze viongozi wengi wa CCM wanakwepa kujitokeza bila shaka, ndio maana unasikia wanasema tumewaalika polisi lakini hawakutokea.
Sasa hawa wazee wa jeshi pengine wamechukuliwa kuwa representatives wa CCM/government, so wamewakilisha yao, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.