Recent content by JudoD

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    [emoji120][emoji120][emoji120]
  2. J

    Asante Sanaa mkuu..
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    [emoji120][emoji120][emoji120]
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Baada ya kukaa database miez nane na kidgo Mung ni mwema [emoji120] na mm pia nmelamba asali. Wakuu hakuna haja ya kukata tamaa utumishi wako real. Kwa kifupi nlkuwa nishaanza kukata tamaa maana ckutokea kwenye placement za mwanzo nikajua bye bye baba Jane. Leo niko na harakati zangu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

    Mkuu hakuna sehem niliyosema wewe mwizi..Rudia kusoma vzr.. Maarifa kwa 50k? Pia napata waswas kwa maana umeeleza vtu na umekiri kwamba umeteseka kutafta kaz kwa mda mrefu na hujasema Kama ulshapata nafas ya kufanya kaz Kaz za ulinzi ulkuwa ukipata hela ndogo bdye ukapata connection za...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

    Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.. Unachotaka kufanya nikuibia watu kisomi[emoji2][emoji2] Elf50 then what next??
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kwa kifupi utumishi cyo pakuweka matarajio makubwa.. utapata matatzo ya afya ya akili.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mkuu tulia halmashaur [emoji2]
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tutafka tumechoka sana
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ni huzuni..tuendelee kunywa mtori pengne nyama zipo chini.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Leten shuhuda wakuu.. IT kafungulia kuanzia leo onwards PDF za placements ztakuwa za kutosha.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ndio lazima uwe umepta jkt
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    TAKUKURU naona pia wametoa nafasi kaomben.. Japo wanasimamia wenyewe.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mkuu kwenye tangazo kuna Kila ktu.. Nmeona kwa mwenye cheti cha computer anaruhusiwa kuomba
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi ya mkataba ila nilikuwa na uhitaji wa kazi ya kudumu

    Mm pia nlkuwa najiulza hili swali. Msomi na degree Tena MD ashndwe kufanya maamz kwel?
Back
Top Bottom