Recent content by Juanmata8

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Cjawahi kufanya kazi ya udalali na unfortunatel kazi ninayoifanya hainipi nafasi ya kujaribu kazi za udalali. Najua alinifanyia kazi nzuri na kwa bei ambayo sikuitegemea so shukrani yangu kwake ni kumtangaza yy na kazi zake. 0762017013 0754543341
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Mpe kazi bei zake ni smart
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Bei poa
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Kama hivi
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Ukimuhitaji aliyenifanyia kazi hii kwa bei poa. Kupaua then nicheki.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vioo (Vifaa vya milango na madirisha)

    Nipe bei ya vioo vifuatavyo kwa sq futi. Wire glass One way Tinted black. Stay Lock Puty. Nipo moshi hivyo itakuwa vema kama vitapatikana moshi mjini ii iwe rahisi kusafirisha hadi site.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Wapo mafundi wanafanya kazi nzuri na bei poa hao wa ml 3 wabaki kwa matajiri. Mie fundi laki 9 zilitosha kupaua.
Back
Top Bottom