napata mashaka sana na hawa wanaojifanya wanajivua magamba na kuhamia CDM, wengi wao baada ya miaka kadhaa wanaomba uongozi CDM na ndio hao wanaokuwa mamluki katika chama. Ukifuatilia kwa makini sana mamluki wengi wanatoka BAVICHA na wengi wao wamejiunga kutokea CCM miaka kadhaa Iliyopita. Kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.