Recent content by JU60_tz

  1. JU60_tz

    KERO Barabara ya PPF KISEKE - Mwanza mbovu sana Mwaka wa pili haina matengenezo

    Alafu Mhe.Diwani na Mbunge wakija kwenu kuomba kura watawaambia mambo yaliyofanyika kwenye utawala wao ni pamoja na ujenzi wa daraja la Busisi, Ndege zimeongezeka, bwawa la Umeme JNyerere. Naomba muwaulize kama hayo kwa nafasi zao mliwatuma kuyafanya hayo? Majibu watakayo wapeni yatafakari kama...
  2. JU60_tz

    Chanjo ya Corona imetengenezwa kwa vitu gani?

    Je, vitu hivyo ni siri? ni kwanini viwe siri wakati haya ni mapambano ya Dunia nzima na tunasema kuwa tunashirikiana kupambana na janga hili!? Je, wataalamu wetu wa Afya Tanzania wanavifahamu vitu hivyo? kama ndiyo kwanini wasimwambie MAMA ili tuvipate tuweze kutengeneza chanjo yetu wenyewe...
Back
Top Bottom