Recent content by jswanani

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu usajili wa Kampuni nahitaji kueleweshwa jambo

    Asante kwa ushauri mkuu, hii nimeelewa vizuri.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu usajili wa Kampuni nahitaji kueleweshwa jambo

    Swali la pili nilikuwa namaanisha uwezekano wa kutumia kifupi.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu usajili wa Kampuni nahitaji kueleweshwa jambo

    Tunahitaji kusajili kampuni tuiite ABC INC tukiwa na maana ya ABC INCORPORATED sasa swali ni je pale BRELA usajili huu utakubalika? Au ni mpaka kuwe na Limited mwishoni? Swali 2: Ikiwa ABC INCORPORATION LIMITED kwenye document zetu za kiutendaji tunaweza kutumia ABC INC? Nipo tayari kujifunza...
Back
Top Bottom