Recent content by JRT

  1. J

    Kuwa wakala wa nywele bandia kama weaving, laster, wig n.k

    Kila kitu vilivyotajwa 👆👆 ninavyo tiar.
  2. J

    Kuwa wakala wa nywele bandia kama weaving, laster, wig n.k

    Nataka kuwa wakala wa nywele bandia za makampuni ya hapa Tanzania mfano daring hair, prima hair n.k. Mwenye uzoefu wa biashara hii na pia utalatibu wa mchakato mzima pamoja na kianzio cha mtaji kila company anisaidie. Nitashukuru sana.
  3. J

    Jinsi gani naweza kupata mkopo wa biashara?

    Naomba mwenye ufafanuzi wa namna ya kupata mkopo kuanzia kiwango cha 10m na kuendelea wa biashara na riba yake per one year anisaidie au anipe ufafanuzi ili niweze angalia kama naweza kufanikiwa kuongeza mtaji
  4. J

    Ubao wa kuning'inizia simu na vifaa vya simu dukani unaitwaje?

    Asanten Sana wadau wote ambayo mmenisaidia ngoja niifanyie michakato namna ya kuipata
  5. J

    Ubao wa kuning'inizia simu na vifaa vya simu dukani unaitwaje?

    Huu ubao hutumika kuninginiza vifaa kama vifaa vya simu n.k, unaitwaje? Na naweza upataje? Unaonekana kwa nyuma.
Back
Top Bottom