Tunaishi kwenye Jamii ambayo Madoktari hawajali afya,Elimu ni ndoto za vigogo na sheria hupotosha haki. Viongozi wa Dini na Serikali wamejiziba Mdomo hakuna wa kutusemea, na Vyombo vya habari vimegeuzwa kuwa vyombo vya kuzika Utetezi na haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.