Kwenye maelezo yako umesema kuwa ktk ujio huo shetani atafungiwa ili asije akawadanganya watu...sasa kama shetani kashindwa kuwadanganya baadhi ya watu wakati huu mpk wapate nafasi ya kuwa watakatifu mpk kwenda mbinguni atawezaje kuwadanganya kwa wakati huo wa baadaye...na pia nataka unieleweshe...
Sasa kama watakatifu watakuwa wameenda tayari mbinguni na waovu wote wamekufa..mbona hapo ni kama hukumu inakuwa tayari imeshafanyika kwa nini waovu wawafufulie kwa ajili ya hukumu wakati wenzao watakatifu wako mbingui wanaendelea na maisha ila wao kwa sababu wameshakufa hawana maisha na pia...
Kweli hapa napo kuna kutafakari wanyama wawili wawili kwa aina tofauti tofauti wakaingia kwny safina..wengine wa aina zile zile za walioingizwa kwny bila kuwa na hatia ya kutenda dhambi wakaachwa nje ya safina na wakaangamizwa pamoja na binadamu waliotenda dhambi...ishu nyingine hii binadamu...
Ukisema kuwa tunda ni tendo la ngono sio sahihi kwa sababu Mungu mwenyewe aliliweka ili wazaliane na kuijaza dunia..sasa kama kufanya tendo la ndoa ingekuwa ni kosa binadamu wangezaana vipi na pia Mungu alimpa Adam agizo la kuzaliana hata kabla ya kula tunda
Kuhusu miti hiyo miwili kwa mujibu wa maandiko ni kwamba yote ilikuwepo wa ujuzi wa mema na mabaya na pia mti wa uzima,ila pia najiuliza kama na shetani naye alikula kwanza yy halafu akampa eva(wote walikula) sasa kwa nini shetani yeye hafi tangu kipindi kile wenzake waliokula walikufa yeye...
Binadamu na wanyama wengine hawakuumbwa mbinguni waliumbwa duniani na ndio makazi yao ya kudumu. Aliyefukuzwa mbinguni kuja duniani ni shetani ambaye hakuwa binadamu
Nadhani suala la kufanya mapenzi lilikuwepo kwa binadamu hata kabla ya kuasi..maana Adam alipewa pia agizo la kuzaliana ili ajaze dunia na ndio maana alikuwepo na mwanamke ili waweze kuzaliana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.