Recent content by Jozeey Junior

  1. J

    Kwa mliochaguliwa IFM...

    Bro naomba unisaidie nataka kujua pale ifm mara nyingi vipindi vinaisha saa ngapi kwa wanaosoma computer science? Mimi nakaa mbagala na sina mpango wa kukaa hostel, usafiri wa huku kwetu kwa jioni ni balaa. Nisaidie kwa hilo bro nijue kabisa najipanga vipi
  2. J

    BSc in computer science

    Thanx bro. Hivi kwenye hiyo facaulty pia wanasoma na computer maintanance?
  3. J

    BSc in computer science

    Vipi kuhusu mishahara yao imekaaje? (Mishara ina range kuanzia ngapi?)
  4. J

    BSc in computer science

    naomba msaada kuhusu hii course baadhi ya sehemu unazoweza kuajiriwa
  5. J

    msaada bachelor of science in computer science

    jamani wadau naomba mnitajie baadhi ya sehemu unazoweza kuajiriwa baada ya kumaliza hiyo course
Back
Top Bottom