Recent content by jozeexxx

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ombi la Kurekebisha Tofauti ya "Automobile" vs "Automotive engineering" kwenye Mfumo wa Ajira portal

    Mimi ni mhitimu wa Automobile Engineering / Automotive Engineering. Napenda kuwasilisha kero ifuatayo: Kwenye mfumo wetu wa ajira Portal, kozi zetu mbili zinawekwa kama fani tofauti kabisa. Matokeo yake, sisi tuliosoma "Automobile Engineering" tunazuiliwa kuomba nafasi zilizoandikwa...
Back
Top Bottom