Habari wanaJF
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, Ubungo mtaa mmoja unaitwa “kwa kichwa”
Natamani kuanza biashara na kichwan kwangu kumekuja na idea ya stationery. Nimekuja kwenu kujua na kufaham zaidi kuhusiana na hili jambo
Natamani kujua mambo ya kuzingatia, tricks za kufaulu, mambo gani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.