Napenda kutoa shukrani sana kwa alieanzisha uzi huu, pia kwa ote tuloshiriki ktka huu uzi.. Hakika mmekua msaada kwa wengi hasa kwangu.
Niliripot hapa udom tar 28 na jana 29 nkakamilisha usajili.
Shukrani mingi mingi kwenu wakuu, mmekua wamuhimu sana
Ingia website ya udom utaona "alis log in'' alaf ataingza namba ya fm four mfano sxxxx/yyyy/2000 ( mwaka alomalza f4) seem ya paswod aweke jina la mwosho kwa herufi kubwa mfano JOYSON
Mi nmechaguliwa pale diploma.. Na walipotoa nlilog in nikakuta dokment kama tano ivi wakasema nizidownload;
Admision later
Fee instructions
Medical fom
Regstr fom
Na iyo yenye control number ambayo walisema tuwape bankers during payments na wamesema ni binafs hazifanani.. Ila CRDB wamesema...
Mkuu.. Speaking of mkopo kwa diploma.. Kuna kipnd flan ivi nliskiaga fununu kua kwa kozi za dplm zenye priority ya kitaifa kam vle sheria, utabibu, uhandisi n.k wafikiriwe kupewa mkopo! Iliishiaga wapi iyo kitu?!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.