Habari, Mimi ni mdada natafuta kazi ya stationery. Nina miaka 26, nina utaalamu na uzoefu mkubwa wa kazi zote za Stationery na mauzo.
Pia, nina ujuzi wa Graphic Design na nina ujuzi wa kutumia mashine ya Heat Press Sublimation kuprint mugs, chupa, na T-shirts.
Naweza kutengeneza picha mbao na...