Recent content by JoyJack

  1. J

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa ajira

    Course ya sheria
  2. J

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa ajira

    Nipo maeneo ya Nyegezi
  3. J

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa ajira

    Nipo mkoa wa Mwanza
  4. J

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa ajira

    Ndio mwaka huu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa ajira

    Habari zenu, Nimerudi tena baada ya kutafuta ajira bila mafanikio . Mimi ni binti wa miaka 24 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu nina uhitaji mkubwa sana wa ajira au sehemu ya kujishikiza hata ya kujitolea nitashukuru .
  6. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Nimesoma Sheria

    Pesa ya law school ni ndefu haipo ndo maana tunahangaika tupate pa kujishikiza
  7. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Nimesoma Sheria

    Habari, Mimi ni binti mwenye miaka 24 nimemaliza chuo mwaka huu course ya sheria nina uhitaji wa kazi yoyote hali ya kuniingizia kipato hata iliyo nje ya field yangu.
Back
Top Bottom