Recent content by joyceOG

  1. joyceOG

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke kwanini unaruhusu mpenzi wako akupige picha za uchi?

    Wanaume nao ni sababisho kubwa me sidhan km mwamke anaweza kujibiga picha za utupu bila kuambiwa au kuombwa na mpenz wake sjui huwa mnawaza nini nyie Wanaume pia najiulizaga ukisha tumiwa picha ya uchi wewe inakusaidia nn mmmmmmmmm me sjui lakin
  2. joyceOG

    JamiiForums Tanzania Kwangu mimi ilikuwa ni kama ndoto

    Mungu amekulipa kwa wema ulio utenda
Back
Top Bottom