Haya mfano mimi nipo jobless sasahivi ? Nifanyeje nimeitikia wito then nakuja kuambiwa cheti hakiendani na kada na nlkua na kazi yangu ila kusafiri na kupoteza mda kumenifanya nikose kazi yagu ya awali je is it ok?
Course ni related pia tumefikiriwa gharama tulizotumia na je imefikiriwa tumepoteza vitu vingapi kwa hii loss of time iliofanyika???? Piabkama mtu amefaulu interview it means yupo smart kufanya iyo kazi why arudishwe nyumbani?????
Nina uhakika kwasababu tumefika hadi chuo cha kodi mwenge na tukaenda kutoa malalaiko makao makuu stesheni pale posta na tukaishia kuambiwa tuandike majina na namba za simu watatupigia
TRA walinipigia simu mwezi Julai na kuniambia kuwa nimechaguliwa kupitia database. Hadi sasa hawajapiga tena simu, licha ya kutuambia tuandike majina yetu. Na mimi si peke yangu, wapo vijana wengine walio katika hali kama yangu.
Tulielezwa kuwa vyeti vyetu haviendani na kada tulizoomba, jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.