Recent content by Joy B

  1. J

    KERO Kwanini Dawasco hawatoi ratiba ya maji?

    Kweli, nashindwa tu edit heading
  2. J

    KERO Kwanini Dawasco hawatoi ratiba ya maji?

    Kabisa, na sina imani kwakweli na shida kutatuliwa. Sema hata kuommunicate ratiba ni changamoto?
  3. J

    KERO Kwanini Dawasco hawatoi ratiba ya maji?

    Jamani, mimi sielewi kwanini huku Dar maji yanaweza katika kwa muda mrefu bila taarifa. Maji yanakatikaje wiki mpaka wiki mbili bila taarifa? Ni changamoto tofauti kuwa na uhaba wa maji, lakini changamoto nyingine kabisa kuwepo kwa mgao bila taarifa yoyote. Sijawahi kuona kipindi maji...
Back
Top Bottom