Mkuu waliua huo mchezo maana watanzania wengi walikuwa wanatengenezewa Invoice fake zinazoonesha bei ndogo so Serikali haikuwa inakusanya mapato ya kutosha kama unavojua kodi inatengenezwa kutoka kwenye CIF Price, ndio maana wakabadilisha mfumo wakaestablish bei zao(CIF Price) kwa kila aina ya...
Tatizo linarudi pale pale ubora wa magari na bei. Magari ya Japan wengi wanayapendelea kwasababu ya bei nzuri pamoja na ubora wake ndio maana yanaweza kudumu na kukidhi matumizi ya Tanzania. Sina uzoefu na magari ya South Africa ila sidhani kama yatakuwa na ubora kama ya Japan maana japan ni...
Kweli kabisa mkuu ukishaingia ndani hamna atakayejua kama umeagiza au umenunua hapa hapa nchini.
Vipi mtazamo wako kwa suala la kununua gari mkononi mwa mtu hapa hapa nchini?
Point nzur sana mkuu... Ila kwa maoni yangu taratibu au procedure za kuagiza magari Japan naona kama zimerahisishwa sana hivo ni rahisi hata kwa mtu wa kawaida kutumia huduma hii yeye mwenyewe ukikwama sehemu unaweza omba msaada na ukaendelea na zoezi la kuagiza wewe mwenyewe. Binadamu siku hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.