Recent content by Jouna

  1. J

    Gharama ya mitambo ya maji ya chupa

    Wakuu poleni na majukumu; Nahitaji kufahamu gharama ya mitambo ya kutengeneza chupa za maji na zile za kuchuja, na mambo mengine yanayohusiana na utengenezaji wa maji special. Nahitaji kuanzisha kiwanda wadau. Mwenye maujuzi anisaidie. Asanteni
  2. J

    Gharama za kwenda China

    Wamiliki wote wa blog wawe na info kam hiz.
Back
Top Bottom