Recent content by joub

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nipeni mwanga jamani

    ilitoka ikiwa na miez mingapi?kama walimsafisha vizur hakuna shida anshika nyingine kama kawaida acha wacwac suns we komaa na lishe bora zen apate muda mwingi wa kupumzika usimfanyishe kaz kam kufua,kudek na nyinginezo mana pia zinapelekea kuchoropoa mimba cunajua anwake wa cku hz,we mpe mahitaj...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu

    pole mwaya my dada nimeamin mimba haina uzoefu,kwa uelewa wangu mm naona ni kawaida coz mtoto ndo anajianda au ameshaelekea getin kwa maandaliz ya kuja dunian bt wot i can advice you ni kwenda kwa matabib kwaajil ya kuona maendeleo ya mtoto bt mazoez usisahau japo kwa uchache ktk kila cku
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani,naumia

    Nashkur wandugu kwa ushaur wenu mola awabariki nimeenda hospital tumechek tayar dogo ameelekea getini,wametushaur kufanya mazoez na kuzingatia mambo ya misos,xnx a lot
  4. J

    JamiiForums Tanzania Jamani nisaidieni hili

    Wan wik kwa ukanda wa barid kias na wk 2 kwa ukanda wenye joto kama hana tatizo lolote kidondan mkuu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani,naumia

    asante kwa ushaur kaka ngoja nende apo ddh nione response knwza i wl giv yuu fidbak mkuu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani,naumia

    ana kilo 50 uref cjajua ila niwakawaida ci mfup yupo katk kund la waref wa wastan,soda anakunywa kwa nadra sana
  7. J

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani,naumia

    so ulivyokwenda hosp hukupewa huduma yyte zaid ya huo ushur?ngoja leo niempeleke nitawapa fid bak wapendwa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani,naumia

    kaka huku niliko ni ful majanga nipo mara serenget yan hospital yenye atrasaund ni moja tu na hao maspecialist ni sawa na hakuna adi nachoka kila tukienda wanasema hakuna tatizo et ni kawaida ata celew katoto kenyewe ndo kakwanza
  9. J

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani,naumia

    Jamani msaada kwa wajuao kama kuna dawa mrs ana uja uzito wa miezi saba na nusu anapata maumivu makali kuanzia kiunon hadi karibu na mbavu upande wa kushoto tuu maumivu ambayo yanapelekea maumivu ya tumbo,wakati mwingne hawezi kulala wala kuka nata hamu ya kula,sambamba na hlo anatapika na pindi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jaman naomba msaada kwa yeyote anaetaka kuja wilaya ya serengeti,serenget sec.niende moro mjin au mvomero plz ukilipztz tzngzo hili mjulishe na mwenzako 0713434286
  11. J

    JamiiForums Tanzania Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

    Jaman ajira mpya na za zaman kama kuna mtu unamjua aje wilaya ya serenget,shule ya sec serenget niende moro taun au mvomero 0713434286
  12. J

    JamiiForums Tanzania MUM idahili toka tcu.

    Mum ni tofaut na vyuo vingne tanzania,inajenga watu katika nyanja zote za maisha ww unaesema wanaubaguz uliwah kuomba ukasome pale ukanyimwa nafac?acha utaratib wao uwe ivoivo hatakaopelekwa mum bila ridhaa yao i believ watarud ndan ya mwez mmoja tu mum hawaangalii sura ukichemka ni kwenu hakuna...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Eti kuna madhara ukinyonya uke wa mwanake?

    acha uzinzi chalii
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nini madhara ya kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume?

    Kwan hayo magol yanatakiwa kua mangap mana naona na ngono nayo imekua panado 2x3 kw cku unawezaje kushindana na sehem uliotokea kuen makin vijana kumbuken kupata ukimwa ni kaz. Ni mtazamo tu
Back
Top Bottom