Recent content by Josse16

  1. J

    Natafuta kazi

    Ahsanteni kwa ushauri wenu ndugu zangu!
  2. J

    Natafuta kazi

    Mimi ni kijana niliyemaliza masomo yangu ya degree mwaka huu ya Ugavi na manunuzi (PROCUREMENT AND LOGISTIC MANAGEMENT) nipo Dar natafta kazi yoyote inayohusiana na professional yangu katika sehemu yoyote. Nahitaji ushirikiano wenu.
Back
Top Bottom