Recent content by jossamt4

  1. J

    Tuione sura ya nne ya rasimu(haki za binadamu) uhuru wa kwenda utakako!

    1. Naomba Tume ya warioba iongezee maneno hapo kwenye Uhuru wa Kwenda Utakako bila bughudha, yaani iongelee kwa undani uhuru wa abiria. Hapa nchini ni tabia iliyojengekeka kwa abiria kutokuwa na mtetezi aliye kisheria. Japokuwa tunasikia kuwa kule DAR siku hizi kuna CHAKUWA, sisi huku mikoani...
Back
Top Bottom