Ahsante sana, majibu ya mwisho aliyopewa hospital ni kuwa kwa umri wake hawawezi fanya upasuaji wowote hasa kuhusu hiyo chango. Pili, hii changamoto imewapata watu wengi tofauti tofauti ndio maana kushare ili kujua wao walisolve vipi maana kuna wengine wanasema dawa za asili za kutibu chango...
Habari wana JF
shemeji yangu alijifungua mtoto wa kiume kwa upasuaji, inavyoelezwa ni kuwa mimba yake haikuwa na shida yeyote ila shemeji tu alikuwa hayupo strong enough na kushindwa kusukuma mtoto dakika za mwisho hali iliyopelekea ufanyike upasuaji haraka kuokoa uhai wa mtoto na mzazi...
Habari wanaJF
Kichwa kimejieleza hapo juu ni jambo serious kwa huyu ndugu yetu kwani siku zote ukweli humweka mtu huru na amethubutu kuniweka wazi.
Ni mjomba wa miaka 36 lakini amejikuta anapitia changamoto nzito sana katika mahusiano yake kisa matatizo yake ya uzazi(ugumba).
Mimi sio...
Habari wana JF
Bila kupoteza muda nijikite moja kwa moja kwenye kilichonifanya kuandika yumkini nikapata ufumbuzi wa changamoto yangu.
mwenzenu kuna kitu ambacho kimekuwa kikinisumbua miaka mingi sana japo kuwa mwanzoni nilikichukulia poa sana lakini kumbe nilikuwa nakosea.
Once napoamua kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.