Recent content by Joshua Nassari

  1. J

    Posho ya 300,000/- kwa siku kwa kila Mjumbe wa Bunge la Katiba ni kubwa!

    MSIMAMO WANGU, SAKATA LA POSHO BUNGENI. Nimeona nukuu kwenye gazeti la nipashe la leo. Kimsingi ike nukuu si ya kwangu ni nineshazungumza na Mhariri wa jipashe Bw. Kwayu. Sijui kama nukuu ile imewekwa kwa kukosea au kwa makusudi, wameahidi kurekebisha makosa lakini ni vyema nikaweka msimamo...
  2. J

    Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

    Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo. Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe. Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO...
  3. J

    Kuvamiwa kwa Lema: Maongezi yangu na RPC & Barua kwa Mkuu wa Mkoa Arusha

    Kamanda pitia taratibu maelezo yangu mafupi utakuta sentensi hizi. "Utapigaje mabomu kwenye nyumba hii, bila shaka yatakuwa mauaji. Lema si jambazi, ni kiongozi, ni role model, ni raia mwema sana na mzalendo kwa taifa lake. Hii wapi sababu ya kuvamia kwake usiku na kuwapa wanafamilia...
  4. J

    Kuvamiwa kwa Lema: Maongezi yangu na RPC & Barua kwa Mkuu wa Mkoa Arusha

    Nimepata kwa mshtuko na nikakataa kuamini kama ni kweli kuwa polisi wa Arusha wamevamia na kuizingira nyumba ya mbunge mwenzangu wa Arusha, Lema. Nimelazimika kumpigia simu RPC kuthibitisha na cha ajabu akaniambia ni kweli. Nimemshauri kama kiongozi mwenzake mwenye dhamana ya kusaidia kuilinda...
  5. J

    Mwigulu Nchemba ajisifu kwa kumpa Mbunge Nassari Laki Tano

    Mwigulu, Ulikuja Arumeru kama campaign manager na operation commander wa kampeni za ccm, ukajiandaa kupata sifa kama ulivyopata Igunga na ukawahakikishia wana ccm wenzako kwamba mngeshinda uchaguzi. Badala yake nikakuburuza wewe na wenzako kama ambavyo inajulikana. Kwa hivyo hasira na chuki juu...
Back
Top Bottom