Recent content by Joshua Deus

  1. Joshua Deus

    SoC03 Suluhisho la ajira wahitimu wa Vyuo Vikuu/ Kati, Veta

    Asantee Sana Mkuu,ubarikiwe,ikiwa Kuna maboresho sehemu waweza kunijuza
  2. Joshua Deus

    SoC03 Suluhisho la ajira wahitimu wa Vyuo Vikuu/ Kati, Veta

    Shindano la kwanza nimeshiriki,la pili pia nimeshiriki,na hili la tatu nimeshiriki,huenda ndio likawa la mwisho kwangu,napenda kuwa karibisha kunipigia kura,lakini pia maoni yenu na ushauri,karibuni sana
  3. Joshua Deus

    SoC03 Utawala Bora ni Haki kwa Nchi Huru

    T Shukrani Sana mkuu,viongozi waweke utaratibu mzuri wa kutoa ajira na kusaidia wanaokosa nafasi hizo
  4. Joshua Deus

    SoC03 Suluhisho la ajira wahitimu wa Vyuo Vikuu/ Kati, Veta

    Umaskini ni hali ya kukosa kumudu mahitaji ya msingi kwa binadamu,mfano Chakula,mavazi na malazi. Janga hili kwa sehemu kubwa bado Lina ikumba bara la Africa,Mwalimu Nyerere,alisema "taifa lina adui watatu ambao wanapaswa kuwatokomeza ambao ni Ujinga,maradhi,na umaskini".Kwa kiasi kikubwa ujinga...
  5. Joshua Deus

    SoC03 Utawala Bora ni Haki kwa Nchi Huru

    Naomba Kura zenu wadau mnaopita kusoma chapisho hili,lakini maoni na ushauri wenu Ni wa muhimu Sana kwangu,karibuni na Asantee.
  6. Joshua Deus

    SoC03 Utawala Bora ni Haki kwa Nchi Huru

    Shukrani Sana mkuu
  7. Joshua Deus

    SoC03 Utawala Bora ni Haki kwa Nchi Huru

    UTAWALA BORA NI HAKI KWA NCHI  HURU Utawala Bora ni mchakato wa kupima ni kwa jinsi gani taasisi za umma, zimeshughulika na Mambo ya umma kwa ufanisi na kutambua haki za binadamu na maadili ya kutotumia mamlaka vibaya kwa watumishi wa umma na kutojihusisha na vitendo vya rushwa na kuwepo...
  8. Joshua Deus

    SoC02 Ni muda muafaka wa kuinua vilivyo vyetu

    Umeandika Makala nzuri sana mkuu
  9. Joshua Deus

    SoC02 Jinsi unavyoweza kumudu kukabiliana na soko lenye ushindani

    Tayari nimeshasoma chapisho,nimetoa maoni na zaidi nimekupigia kura
  10. Joshua Deus

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Wazo limeenda shule bro,Safi sanà,kikubwa ikiwezekana wakuu watehama watoe elimu ngazi ya mtaa na vitongoji hii itasaidia watu kuelewa matumizi na faida ya mtandao katika ulimwengu huu wa kidijitali
  11. Joshua Deus

    SoC02 Jinsi unavyoweza kumudu kukabiliana na soko lenye ushindani

    Asantee Sana Kaka nitashiriki kutoa mawazo
Back
Top Bottom