Recent content by Josh the best

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kuua ndege wawili (Plaster na Skimming) kwa kutumia White Cement?

    Naombeni msaada wa ujenzi, eti unaweza kupiga plasta kwenye ukuta kwa kutumia white cement na ikawa umepiga ndege wawili kwa wakati mmoja yaani gharama za plasta ya kawaida na ya ku-skim baadae?
Back
Top Bottom